Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Katika picha hizi ni Wanafunzi Mabanati wa Hawzat Hadhrat Zainab (s.a) iliyopo eneo la Kigamboni - Jijini Dar - es - Salam, chini ya Jamiat Al-Mustafa (s) International Foundation, Dar-e- Salam - Tanzania, wakiwa katika Mashindano ya 30 ya Qur'an na Hadithi. Katika tukio hili pichani, ni sehemu ya Mashindano hayo ambapo Wanafunzi wanashindana katika mitihani iliyogawanyika katika maeneo matatu yafuatayo: 1- Mtihani wa Hadithi 2- Mtihani wa Nahjul - Balagha 3- Mtihani wa Tafsiri ya Qur'an Tukufu.

19 Aprili 2025 - 16:28

Picha | Wanafunzi - Mabanati wa Hawzat Hadhrat Zainab (s.a), Kigamboni, Dar- es- Salam wakiwa katika Mitihani ya Mashindano ya 30 ya Qur'an na Hadithi

Your Comment

You are replying to: .
captcha